Wednesday, November 4, 2009

Picha za Kanda Bongo Man - Womadelaide

















Picha hizi tulipiga wakati Kanda Bongo Man alipokuja Womadelaide kutumbuiza kwa kutuletea staili yake kabambe ya Kwasa Kwasa.
Mavazi yake pia yanavutia sana jamaa huyu. Talking about style...wacheki hawa jamaa walivyoulamba!

0 comments:

Post a Comment