
Tanzania Daima waliripoti, Mwaka Jana, kwamba Sirikali ya ilikiri kwamba inaajiri wataalamu wa nje kwa gharama kubwa baada ya kupoteza wataalamu wazalendo wanaotafuta kazi nje ya nchi, ambao ni nguvu kazi ya taifa, wenye uwezo na ujuzi.
Inaelekea malalamiko gharama kubwa za kuajiri wataalamu wa nje sio ugonjwa wa Afrika tu manake Australia, Mkurugenzi wa Kampuni ya Leighton Holdings' , Wal King, (picha hapo juu inatoka kwenye tovuti yao) amelalamika kwamba Wataalamu kutoka America wanakuja nchini kimapozi,wanakaa muda mfupi na wanapoondoka wanalipwa mapesa kibao, wakati wenyeji wananyimwa kazi hizo. King alisema:
‘‘All I can say to you is that it won’t be any high-flying American parachuted in at outrageous salaries that make mine look like chicken feed and stay for two years and fill up the jumbo jet and leave. I mean that is not going to happen,’’ he told reporters. ‘‘You name me one American chief executive who has stayed in Australia".
Hili, kwa ujumla, ni sakata la executive pay na kimsingi hoja ni ya kiuchumi (Supply and Demand?). Jamii Forums walishawahi kugusia mada hii on a different context.
0 comments:
Post a Comment