Tuesday, November 3, 2009

Vyura wa Kihansi


According to the the International Union for Conservation of Nature (IUCN) Red List,the Kihansi spray toad,a small toad native to the Kihansi gorge in southern Tanzania is now believed to be extinct in the wild due in part to a fungal disease that has affected the species, and the drying up of a dam in the gorge where it lived....
Tanzania Daima wanamnakuu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akielezea hali halisi kwamba: “Kihansi kuna maporomoko makubwa ambayo husababisha mvuke, mvuke ule ndiyo husaidia kustawisha mayai yao. Vyura wale wako Ujerumani ambako waliwaomba baada ya kuwaondoa ili kuboresha mazingira yao, lakini kule Ujerumani wameshindwa kuzaliana kutokana na mazingira,”...Bungeni pia limefika.

0 comments:

Post a Comment